Karibu!– Jua Kali | Maisha Magic Bongo

2 Просмотры
Издатель
Kipindi cha kwanza cha Jua Kali kimeanza. Tunaanza kwa ukali sana na Sophie kufumwa na mume wa mtu. Mambo kijijini yazuka baada ya wanakijiji kukasirika. Hatimaye George apata mshituko mkubwa akitua uwanja wa ndege.


---
Endelea kutizama DStv chaneli 160
Official Website:
Angalia tamthilia bora Tanzania kwa kutumia Showmax:

Pakua App ya DStv:

Instagram:
Twitter:
Facebook:
Категория
Фантастика онлайн
Комментариев нет.
Яндекс.Метрика