MTOTO ALIYE-TREND KUTAJA MIRADI YA HAYATI MAGUFULI NA MARAIS 50 AONGEA “NIMEUMIA"

0 Просмотры
Издатель
Mtoto Baraka ambaye ametrend kwa kutaja maRais wa nchi hamsini,miradi aliyoitekeleza hayati Dkt John Magufuli pamoja na baraza la mawaziri wa serikali ya awamu ya tano amezungumzia kifo cha hayati Dkt Magufuli nakusema ameumia sana baada yakupata taarifa ya kifo chake.
Категория
Фантастика онлайн
Комментариев нет.
Яндекс.Метрика